DAR ES SALAAM INTERNATIONAL TRADE FAIR (DITF)
Nawakaribisha wote katika maazimisho ya Sabasaba mwaka huu 2012, yatakayo anza rasmi tarehe 29/06/2012. Nitashiriki kama Jaji kwa mara ya pili sababu mwaka jana niliteuliwa kwa mara ya kwanza, nina uhakika mwaka huu ushindani utakuwa ni mkubwa nakila mmoja ataridhika na maonyesho haya. KARIBUNI
Yes and this is the letter of appointment |
and this is the Panel Judges tukiwa tunazunguka kucheki mazingira |
Hapa bado waheshimiwa Majaji tukiwa tunazungukia maeneo yote kwa makini |
Mheshimiwa Jaji na uso wa furaha |
DAR ES SALAAM INTERNATIONAL TRADE FAIR (DITF)
Reviewed by Women4WomenTz
on
12:50:00 AM
Rating:
hongera mh jaji.
ReplyDeleteAsante
DeleteHayo ni mashing another ya kibiashara au maazimisho? Yale yakuleta vitu viuzwe?
ReplyDelete