Kikundi kipya cha Ujasiliamali kimezaliwa - Dar es Salaam

Leo tarehe 24/04/2016 kikundi kipya cha ujasiliamali kimeandika historia. Ni wanawake wa Rika la kati, wako walioolewa, wanafunzi na kina mama wenye majukumu katika familia.

Wamekutana kupitia Katiba ya kikundi chao na kupitisha yale yatakayosaidia katika kukiendesha kikundi.

Pamoja na mengi wamejumuika kufanya ghafla fupi ya chakula cha jioni kwa ajili ya kujipongeza na kuandika ukurasa mpya.
MC Marry

Kemmy

Tabitha na Hariety

Modesta

Wanachama wakipata mlo kabla ya kuanza kikao

Wanakikundi katika baadhi ya picha za pamoja






Wanakikundi wakijadili Katiba kwa makini 


Walichangia mawazo ili kuiboresha Katiba kwa manufaa ya kila mmoja.


NB; Women4WomenTz inawatakia mafanikio mema katika kujikwamua. Wanawake tunajiwezesha na wala hatuhitaji kuwezeshwa.

Kikundi kipya cha Ujasiliamali kimezaliwa - Dar es Salaam Kikundi kipya cha Ujasiliamali kimezaliwa -  Dar es Salaam Reviewed by Women4WomenTz on 12:54:00 PM Rating: 5

2 comments

  1. Wamependeza wenyewe, nasisi tunakutana kuzindua kikundi cheti ambacho tulikutana whatsap tunatamani uturushe dada.

    ReplyDelete
  2. Nzuri sana inahamasisha

    ReplyDelete