ARUSHA WOMEN GALA DINNER 2016
Meza ya Wafanyakazi wa NMB, Mwenye blonde niCustomer Service Manager wa Branch Mwansity
Mh. Glory, Diwani wa Unga Limited
Wahudhuriaji wakifuatilia mada
Mh. Ester Alexander Mahawe, Mbunge wa Viti Maalum CCM Manyara pia ni Mkurugenzi wa Intel Schools
Wageni mbalimbali waliohudhuria
Mratibu wa Shughuli Josephine Edington Moshi
Muhamasishaji Lucy James Mwinuka
Mgeni Rasmi Mh. Viola Lazaro Likindikoki ambaye ni Naibu Meya wa Manispaa ya Jiji la Arusha
Shamim Mwasha wa 8020fashion, Jamila Omar wa Channel Ten, Mh. Anne Gideria na Josephine Edington ambaye ndiye Mratibu Mkuu wa shughuli
Aziza Mwakaluka
Mratibu Mkuu wa Shughuli nzima Josephine Edington
Muhamasishaji Mrs Lucy James Mwinuka kutoka Chuo Kikuu cha SEKOMU Lushoto
Wahudhuriaji wakifatilia mada
Mheshimiwa Anne Gideria, Mbunge wa viti Maalum Chadema kutoka Manyara
Wawakilishi kutoka TREVOR Babra na Beatrice
Muelimishaji wa Networking Marketing Dorcas Mgoyo yeye binafsi ni Mjasiliamali na amefanikiwa kupitia Networking Marketing ya Multinational Forever Living
Meza ilichukuliwa na wajasiliamali wa FOREVER LIVING
Psalm 17:2 Let my sentence come forth from your presence
ARUSHA WOMEN GALA DINNER 2016
Reviewed by Women4WomenTz
on
6:21:00 AM
Rating: