VIJANA WA KINONDONI KUNUFAIKA

VIJANA WA  WILAYA YA KINONDONI WENYE KIPAJI CHA MUZIKI KUNUFAIKA
Vijana wenye kipaji cha muziki katika manispaa ya kinondoni sasa watanufaika na mradi wa KINOMUSIC ambao ni mradi unaoletwa ndani ya Manispaa ya Kinondoni ukisimamiwa na mstahiki Meya wa Kinondoni Mstahiki Meya Boniface Jacob ili kutoa ajira kwa vijana wanaoishi Kinondoni.Mradi huu utawawezesha vijana wenye vipaji vya muziki kurekodi bure kupitia studio za MJ Records,Tongwe Records na Mazuu Records.
Pia kazi zao zitasimamiwa na kukuzwa zaidi ili vijana waweze kupata ajira ya kudumu itakayo wawezesha kujikwamua kimaisha.KINOMUSIC#MUSIKI NI AJIRA.
VIJANA WA KINONDONI KUNUFAIKA  VIJANA WA KINONDONI KUNUFAIKA Reviewed by Women4WomenTz on 9:52:00 PM Rating: 5

No comments