YAJUE MASHARTI YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KWA MAKUNDI"A" NA "B"

Tabitha Mkude (W4W business adviser & Coordinator)

Mwombaji anapaswa kujaza fomu ya maombi TFN 211 kikamilifu (Fomu hii inapatikana ofisi za Manispaa kitengo cha biashara katika jengo la mkuu wa wilaya yaKinondoni.
Viambatanisho muhimu wakati wa ujazaji wa fomu hivi vifuatavyo.:
i)Photocopy ya certificate of incorporation au kama ni jina la biashara(Attach photocopy of certificate of incorporation(in case of a company)or certificate of Registrationin case of Business name and Extract)
ii)Kama ni kampuni ,"Memorandum and Article of Association showing among other things,that objectives of the  company allows it to do the business which is being applied).
iii)Uraia:photocopy ya kitambulisho cha mpiga kura ,kitambulisho cha Utaifa ,hati ya kusafiria,leseni ya udereva(Driving Licence),cheti cha kuzaliwa au Hati ya kiapo kuonyesha kuwa ni Mtanzania na mgeni Hati ya kuishi nchini daraja la "A"(Residence Permit Class "A")
IV)Endapo wenye hisa wotewakampuni wapo nje ya nchi itabidi maombi yaambatane na Hati ya kiuwakili (powers of attorney).(In case shareholders of the company are non-residents,powers of attorney to a citizen/resident shouldbe submitted/attached.
v)Ushahidi wa maandishi kuwa una mahali pa kufanyia biashara (kwa mfano hati za nyumba,mkataba wa upangishaji,risiti za malipo ya kodi za majengo au ardhi.(proof by applicant having a suitable business premises for the business applied(proof can ba copy of title deed,tenancy agrrment.Receipt of rent or property payment)
vi)Hati ya kujiandikisha kama mlipa kodi TRA(Taxpayer Identification number-TIN)
vii)Kwa leseni zinazokabidhiwa na mamlaka mbalimbali kwa mfano(TFDA,EWURA,CRB,ERB,TCRA,TPRI)n.k lazima mwombaji kuwa na leseni husika kabla ya kuomba leseni ya biashara.
viii)Hati za kitaalamu(professional certificates)-kwa biashara zote za kitaalamu,mfano leseni za kuendesha hospitali,zahanati,udaktari,sheria,ujenzi,(Professional Certificates/Authority for allprofessional business eg.running hospitals dispensaries,advocates,pilots and ship captains etc.
YAJUE MASHARTI YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KWA MAKUNDI"A" NA "B" YAJUE MASHARTI YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KWA MAKUNDI"A" NA "B" Reviewed by Women4WomenTz on 8:30:00 AM Rating: 5

No comments