MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA TAASISI YA WOMEN FOR WOMEN TANZANIA
Women For Women wanapenda kuwajulisha wanachama wake na wapenzi wake, kutakuwa na mkutano mkuu wa Taasisi. Mkutano huo utafanyika mwanzoni mwa mwezi wa nane jijini Dar es Salam.
|
KAMATI YA MAANDALIZI |
LUKIZA - Mwenyekiti wa Kamati |
Martha - Katibu wa Kamati |
Marry - Mweka Hazina |
Sylvia - Mjumbe |
Tuwaombe maandalizi mazuri na yenye Baraka tele.
MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA TAASISI YA WOMEN FOR WOMEN TANZANIA
Reviewed by Women4WomenTz
on
6:35:00 AM
Rating:
No comments